Bofya hii sentensi kama umekwama hapa.
Jinsi ya Kuweka Oda Yako:
Chagua Kitafunio Unayotaka
- Bofya kitufe cha bluu kilichoandikwa (Add Order To My Bill Now) kilichopo chini ya kitafunio unayotaka.
- Baada ya kubofya, mfumo utasoma uchaguzi wako na kuweka alama ya tiki (✓).
- Alama hii inamaanisha oda yako ya kitafunio hiyo imewekwa kwenye orodha ya maagizo yako (Bill).
Ongeza Kitafunio Zaidi (Hiari)
- Kama unataka kuongeza idadi ya kitafunio hicho hicho (mfano: paketi mbili za aina mmoja ya kitafunio), bofya hicho hicho kitufe tena.
- Kila unapobofya, idadi ya kitafunio uliyochagua itaongezeka.
Rudi Nyuma kwa Huduma Nyingine
- Kama unataka kuangalia au kuagiza huduma nyingine, bofya kitufe cha (< au <- ) kilichopo chini, kwenye muongozo wa simu yako.
Endelea Kumalizia maagizo Yako
- Ukishamaliza kuongeza maagizo yako yote, bofya kitufe cha bluu kilichoandikwa (After Adding All of Your Orders To Your Bill Tap Here To Proceed).
- Kitufe hiki kipo aidha chini ya mwongozo huu au chini kabisa ya orodha ya vitafunio .
Kagua Orodha ya Oda Yako
Tafadhali soma maelekezo ya ukurasa huo kwa umakini ili uweze kuendelea bila changamoto.
Utaelekezwa kwenye ukurasa wa kukagua orodha ya maagizo yako (Bill) na majumlisho yake.
-
Sale!

Alpella
Original price was: 3,000Sh.2,500ShCurrent price is: 2,500Sh. TZS Sold By:
Add to cart -
Sale!

Biscuit
Original price was: 1,000Sh.500ShCurrent price is: 500Sh. TZS Sold By:
Add to cart -
Sale!

Crips
Original price was: 2,500Sh.2,000ShCurrent price is: 2,000Sh. TZS Sold By:
Read more -
Sale!

Dairy Milk
Original price was: 4,000Sh.3,500ShCurrent price is: 3,500Sh. TZS Sold By:
Add to cart -
Sale!

Nutts / Karanga
Original price was: 1,200Sh.1,000ShCurrent price is: 1,000Sh. TZS Sold By:
Add to cart -
Sale!

Popcorn
Original price was: 2,500Sh.2,000ShCurrent price is: 2,000Sh. TZS Sold By:
Add to cart -
Sale!

Snickers
Original price was: 3,500Sh.3,000ShCurrent price is: 3,000Sh. TZS Sold By:
Add to cart -
Sale!

Tambi
Original price was: 2,500Sh.2,000ShCurrent price is: 2,000Sh. TZS Sold By:
Add to cart
