Drinks

Bofya hii sentensi kama umekwama hapa.

Jinsi ya Kuweka Oda Yako:

Chagua ***Kinywaji*** Unayotaka
– Bofya kitufe cha bluu kilichoandikwa (Add Order To My Bill Now) kilichopo chini ya ***kinywaji*** unayotaka.
– Baada ya kubofya, mfumo utasoma uchaguzi wako na kuweka alama ya tiki (✓).
– Alama hii inamaanisha oda yako ya ***kinywaji*** hiyo imewekwa kwenye orodha ya maagizo yako (Bill).

Ongeza ***Kinywaji*** Zaidi (Hiari)
– Kama unataka kuongeza idadi ya ***kinywaji*** hicho hicho ***(mfano: chupa mbili za aina mmoja ya kinywaji)*, bofya hicho hicho kitufe tena.
– Kila unapobofya, idadi ya ***kinywaji*** uliyochagua itaongezeka.

Rudi Nyuma kwa Huduma Nyingine
– Kama unataka kuangalia au kuagiza huduma nyingine, bofya kitufe cha (< au <- ) kilichopo chini, kwenye muongozo wa simu yako.

Endelea Kumalizia maagizo Yako
– Ukishamaliza kuongeza maagizo yako yote, bofya kitufe cha bluu kilichoandikwa (After Adding All of Your Orders To Your Bill Tap Here To Proceed).
– Kitufe hiki kipo aidha chini ya mwongozo huu au chini kabisa ya orodha ya ***vinywaji***.

Kagua Orodha ya Oda Yako
– Utaelekezwa kwenye ukurasa wa kukagua orodha ya maagizo yako (Bill) na majumlisho yake, baada ya kobofya hicho kitufe cha bluu kilichoandikwa (After Adding All of Your Orders To Your Bill Tap Here To Proceed).
– Tafadhali soma maelekezo ya ukurasa huo kwa umakini ili uweze kuendelea bila changamoto.

Hot Drinks

Water

Fresh Drinks & Juice

Soft Drinks

Non-Alcoholic Beers

Energy Drinks

Local Beer

Imported Beers & Ciders

Wines

Liqueurs

Spirits