Food

Here we produce fresh food, please note that when you order it will take us 30 to 60 minutes to serve. Thank you
Hapa tuna tengeneza vyakula fresh, tunaomba ukiweka oda yako vumilia kwa dakika 30 au mpaka dakika 60. Asante

Bofya hii sentensi kama umekwama hapa.

Jinsi ya Kuweka Oda Yako:

Chagua Chakula Unayotaka
– Bofya kitufe cha bluu kilichoandikwa (Add Order To My Bill Now) kilichopo chini ya chakula unayotaka.
– Baada ya kubofya, mfumo utasoma uchaguzi wako na kuweka alama ya tiki (✓).
– Alama hii inamaanisha oda yako ya chakula hiyo imewekwa kwenye orodha ya maagizo yako (Bill).

Ongeza Chakula Zaidi (Hiari)
– Kama unataka kuongeza idadi ya chakula hicho hicho (mfano: sahani mbili za aina mmoja ya chakula)*, bofya hicho hicho kitufe tena.
– Kila unapobofya, idadi ya chakula uliyochagua itaongezeka.

Rudi Nyuma kwa Huduma Nyingine
– Kama unataka kuangalia au kuagiza huduma nyingine, bofya kitufe cha (< au <- ) kilichopo chini, kwenye muongozo wa simu yako.

Endelea Kumalizia maagizo Yako
– Ukishamaliza kuongeza maagizo yako yote, bofya kitufe cha bluu kilichoandikwa (After Adding All of Your Orders To Your Bill Tap Here To Proceed).
– Kitufe hiki kipo aidha chini ya mwongozo huu au chini kabisa ya orodha ya vyakula.

Kagua Orodha ya Oda Yako
Utaelekezwa kwenye ukurasa wa kukagua orodha ya maagizo yako (Bill) na majumlisho yake, baada ya kobofya hicho kitufe cha bluu kilichoandikwa (After Adding All of Your Orders To Your Bill Tap Here To Proceed).
– Tafadhali soma maelekezo ya ukurasa huo kwa umakini ili uweze kuendelea bila changamoto.